Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 11, 2012

HARAMBEE YA M4C YA CHADEMA JUMLA YA TSH MILIONI 323 ZAPATIKANA JIJINI DAR




Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati  Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari huku pembeni yake akiwepo Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema.
 Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.
Picha za matukio mbali mbali zitawajia baadae, endelea kutembelea Kajunason Blog. Asante sana.

No comments:

Post a Comment