Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 4, 2012

JAMBAZI LAPATIKANA NA KUUAWA VIBAYA,MWENZAKE AKIMBIA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA







Hizo ni picha za jambazi ambaye amepigwa risasi ya paja na askari wa doria leo mida ya saa 5 kasoro asubuhi ya leo na walikuwa wawili ,  mmoja amekimbia na mmoja wamemkamata na wananchi wenye hasira kali wamempiga na mawe ila hajafa na askari wamemchukua kwenda kumtibia ili awataje wenzie na inasemekana walivamia maeneo ya ubungo na wakapora pikipiki (bodaboda) wakakimbia, ila hawajawahi kupora kitu chochote zaidi ya pikipiki (boda boda) na wameuawa maeneo ya kigogo km unaenda tabata pikipiki yenyewe yenye usajili wa namba T 606 aina ya FEKON..

1 comment:

  1. WaTz kama tunaweza haya, kwanini tunashindwa kufanya hivi kwa mafisadi....? Au angalau tupunguze kuvunja haki za binadamu na tuwafunge maisha mafisadi wote kwa hasira hizi hizi za kuchukia wezi??? Aggghhhh....

    ReplyDelete