Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Said Meck Sadik muda mfupi baada ya kuwasili akitokea nchini Ghana
ambapo alishiriki mazishi ya aliyekuwa Rais wan chi hiyo Marehemu John
Atta Mills.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali
Davis Mwamnyange.
Jakaya
Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakigawa zawadi kwa watoto
yatima na walemavu walohudhuria futari waliyowaandalia ikulu jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment