Askari
wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wameweka doria katika
barabara kuu ya kutoka Kigamboni kwenda Mji Mwema Dar es Salaam leo,
baada ya kudhibiti vurugu za wachimba kokoto wa eneo la Maweni ambao
walifunga barabara hiyo kwa mawe kwa zaidi ya masaa natatu na kuchoma
matairi wakishinikiza kuruhusiwa kuchimba kokoto.
Baadhi
ya mawe yaliyoondolewa barabarani baada ya kuwekwa na wachimba kokoto
eneo la Maweni, Kigamboni. Watu kadhaa wanaotuhumiwa kufanya vurugu hizo
wametiwa mbaroni.
No comments:
Post a Comment