MBWANA SAMATTA ANAMILIKI GARI YA GHARAMA CONGO BIG UP SANA KWAKE
Mbwana
Samatta mchezaji wa zamani wa Simba ambae kwa sasa makazi yake ni Congo
Drc kwenye club ya Tp Mazembe, hii picha kaiweka facebook na hajaandika
chochote kama ni lake au vp lakini mashabiki wake moja kwa moja
wameanza kumpa pongezi.
No comments:
Post a Comment