Pages

Friday, August 3, 2012

MCHEKI NGASA NA GARI YAKE AINA YA VEROSA MPYAAAAA AKIWA AMEANZA MAZOEZI NA SIMBA





Aliyekuwa mchezaji wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake aliyokabidhiwa jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach kwa kuungana na wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya Azam,Simba na yeye kumalizika

No comments:

Post a Comment