Mamia
ya washabiki wa Simba waliojitokeza katika mkutano mkuu wa Klabu hiyo
katika bwalo la maofisa wa polisi Oysterbay, Dsm wakiwasikiliza
viongozi wao wakielezea mipango ya mwaka mzima ilivyokwenda na matarajio
ya msimu ujao wa Ligi kuu Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment