Hili
ndio gari jipya la Mrisho Ngasa alilopewa kwenye huo uhamisho wa
kuingia Simba kwa mkopo akiwa anaingia nalo kwenye mazoezi na Simba leo.
Mrisho Ngasa ni baba wa watoto watatu katika ndoa aliyofunga miaka minne iliyopita.
Ngasa akiwa anaingia kwenye mazoezi Coco beach na club yake mpya ya Simba.
Leo ndio Mrisho Ngasa ameanza mazoezi na Simba leo.
.
Salute kwa Saleh Ally wa gazeti la Champion kwa kunitumia hizi picha.
Jinsi Mrisho Ngasa alivyopokewa na mashabiki wa Simba kwenye makao makuu ya club hiyo.
No comments:
Post a Comment