Pages

Saturday, August 25, 2012

POLISI MORO YAIBAMIZA COASTAL UNION LEO


Leo kulikuwa na mechi ya kali ya kirafiki kati ya polisi ya morogoro na coastal union ya tanga Mechi hiyo imeisha kwa polisi morogoro kuibamiza coastal bao moja kwa bila,Goli lililofungwa dakika ya 80 na mokili rambo.Mechi hiyo iliyokuwa na lengo kwa kila timu kupima  vikosi vyao kabla kuanza kwa ligi kuu ya soka ya tanzania bara inayotajaria kuanza  mwezi ujao.
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo:
Polisi moro Said manzi,Naoda Bakary,John Bosco,Hamisi mamiwa,Abdalah rajabu,Salmin kiss,Admin bantu,Pasco maige,Abdalah juma,Mokil rambo,Keneth masumbuko
Coastal union:
Jackson chove,Mbwana bakary,Juma jabu,Jamali macheranga,Philip metusela,hamis shengo,Pius kasambile,Razak khalfan,Nsa job,Seleman salembe,Atupele Green
Kikosi cha  timu coastal union kilichoanza


 Kikosi cha timu ya polisi kilichoanza


 Golikipa wa polisi saidi manzi akiokoa moja ya hatari langoni mwake
Selemani salembe akimiliki mpira akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa timu ya polisi

No comments:

Post a Comment