Pages

Monday, August 13, 2012

TIMU YA BASKETBALL YA MAREKANI YACHUKUA USHINDI OLYMPIC KWA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU!



.
.
.
.
.
.
.
.
LeBron James 6 akishangilia ushindi wa gold-medal na mchezaji mwenzake wa U.S Kobe-Bryant.
Kocha wa team ya kikapu ya U.S.A Mike Krzyzewski akishangilia ushindi na LeBron James.
Kobe Bryant wa Marekani akimhug mchezaji mwenzake ambae Pau Gasol ambae anaichezea pia timu ya taifa ya Hispania.
Kevin Durant na Russell Westbrook.

No comments:

Post a Comment