Pages

Thursday, August 16, 2012

Timu yetu ya Taifa kwenye mashindano ya Olimpiki yarejea nchini jana na kulakiwa kwa shangwe


Kikosi kamili kilichowakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olimpiki kikiwa na viongozi wao kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo jioni mara baada ya kuwasili.
Mwakilishi wa Mchezo wa Ngumi Selemani Kidunda.
Wawakilishi wa Mchezo wa kuogelea Amal (mbele) Gadiale na Magdalena Moshi wakiwasili.
Rais wa Kamati ya Olimpiki Filbert Bayim, akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Michezo nchini Leonard Tadeo ambae alifika kuwapokea uwanjani hapo.
Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)Makore Mashaga akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki mara baada ya kuwasili nchini.
source http://thisdaymag.blogspot.com

No comments:

Post a Comment