Pages

Wednesday, August 8, 2012

UNAIJUA BIFU YA SINTA NA NEY WA MITEGO?HIKI NDICHO ALICHOANDIKA SINTA KWENYE MTANDAO WAKE ::HUYU NI NANI?ETI MUIMBAJI?HAPATIKANI GOOGLE AU NDIO WALE KIINGILIO BUKU UZINDUZI TANDALE

kumbe hata facebook hayupo bado yupo kwenye analogy  anataka kuja digital na umekuja sasa

beautiful sintah,nothing but confidence,,jeshi la mtu mmoja, mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
hivi wa wapi weweee,mbona husomeki
weweee,tume google hupatikani wewe,
shukurani kwa mdogo wako alietuletea picha yako ya beach, sijui nani sijui nay utaweza??
jipange,namuonea huruma mama yako kuzaa kiumbe kilichoharibikiwa, nina jaribu 
ku google naona neyo wa Us sasa nisaidie nitupie kwa mnyamani au kiembe mbuzi niambieeee ili nikupate 
my brodaaaaa you have just tickled a private part of a tiger,,, you wanted promo
now you gotta maza vitumbua 

SINA SHIDA NA  MTU ILA UKINIANZA HUWA NAMALIZA  SHIDA ZAKO 
cc to naxylady upo kwenye cue usitafute maarufu maana umaarufu hauji kwa njia
za panya
from
Unstoppable
MA International Relations & Diplomacy 
source-sintah.com

No comments:

Post a Comment