Jezi za ugenini za Barcelona kwa msimu wa 2013-2014 zitakuwa pia na rangi za nyekundu na dhahabu za bendera ya Katalunya, kwa mujibu wa gazeti la Sport la nchini humo. Mashabiki waliosubiri kwa miaka 113 kuona Bars of Aragon katika jezi za klabu yenye mafanikio zaidi hatimaye kiua yake itaisha msimu ujao.
No comments:
Post a Comment