Pages

Monday, September 10, 2012

HII NDIO CLUB YA SOKA ILIYOPIGA MARUFUKU WACHEZAJI KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUZUIA MAJERUHI.



.
Unaweza kuona kama utani lakini jamaa wako serious kabisa, club ya soka ya Napoli Italia imepiga marufuku kwa wachezaji wake kwamba wanatakiwa kutofanya tendo la ndoa na wapenzi wao au wake zao siku mbili kabla ya mechi.
Daily Post wameandika kwamba hiyo ni njia nzuri ya kuzuia majeraha ya misuli ambapo pamoja na kuipitisha hiyo sheria, bado club hiyo kwa kipindi kilichopita imekua na majeruhi wachache ikilinganishwa na club nyingine.
Wazo la kuiweka hiyo sheria lilitoka kwa daktari mkuu wa Napoli Professor Alfonso De Nicola ambae alikua akifanya interview na gazeti la Corriere del Mezzogiorno.

No comments:

Post a Comment