Sir
Juma kassim kiloboto Nature sasa kuweka pembeni Music na kufanya kazi
ya Siasa ili kuweza kuwania jimbo la Temeke 2015 ili kuweza kuendeleza
harakati zaidi za jamii kwa ujumla na kufanikisha
mambo mbalimbali niliweza kutaka kuonana na Nature ili kuweza kuongea
nae ila juu ya harakati hizi Mda ndio ukawa tatizo ila mpya juu ya
harakati za nature katika siasa ntawapeni zaidi.
No comments:
Post a Comment