KALI YA LEO:::Failure Is Not Our Option Na Swali La " Why Do We Exist...?!
Na
tatizo tulilo nalo WaTanzania wengi ni kulizunguka swali badala ya
kulikabili na kulijibu. Majuzi hapa niliuliza; " Jamani, leo ni
jumangapi?" Ajabu, ilichukua nusu saa kabla
ya kupata jibu, maana, waliojitokeza walianza kuhoji maana ya swali, na
wengine kutaka kujua nimeuliza nikiwa lengo gani, na kadhalika na
kdhalika. Tuyaone basi majibu ya swali hili la kifalsafa; Why Do We
Exist?
No comments:
Post a Comment