KAULI YA H BABA KUHUSU IRENE UWOYA KUTOA MIMBA YAKE
chanzo cha kuachana na mpenzi
wake wa zamani ambae ni Irene Uwoya aliedaiwa kusema kwamba katika
wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi, H Baba ndio alikua mbovu kuliko
wote kwenye mapenzi, hajui chochote.Kuhusu hilo H baba amejibu kwa
kusema chanzo cha yeye kuachana na Irene ilikua ni baada ya kumpa
ujauzito ambapo siku moja walikwenda hospitali kutokana na Irene
kujisikia vibaya lakini walipofika hospitali Irene ambae aliingia kwa
dokta peke yake aliutoa huo ujauzito bila kumpa H baba taarifa kabla,
wakati walikwenda wote hospitali, H baba hakukubaliana na hiyo ishu na
kuanzia hapo ndio kila mtu akashika njia yake.
No comments:
Post a Comment