Pages

Wednesday, September 26, 2012

MTIKILA ASHINDA KESI YAKE TENA DHIDI SERIKALI


 Mtikila akijiandaa  kwenda kusikiliza kesi yake.


Mzee wa kesi akiwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu 


 Mtikila akisubiri muda wa hukumu ufike.


 Mchungaji mtikila akipata habari kidogo



 Furaha ya ushindi dhidi ya serikali
 Akiongea na waandishi wa habari waliojitokeza mahakamani hapo.
Kila mmoja akihangaika huku na kule kupata taswira nzuri..





 Mtikila amkimsikiliza Koplo wa Polisi mwenye RB Namba : KMR/RB/10482 yenye maelezo ya kutishia kuuwa kwa maneno na wizi wa viwanja iliyofunguliwa na bwana Gotta Ndungulu.
 Mtikila akitoa onyo kali kwa Polisi mwenye cheo cha Koplo kwa kutaka kumkamata kwa madai kuwa yeye ni kiongozi wa Kitaifa na mwenye uwezo wa kumkamata ni mwenye ofisa wa Polisi mwenye cheo cha juu.
 Mtikila akiondoka Mahakamani baada ya kushinda kesi na kutokamatwa na polisi.
MWENYEKITI wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, leo ameshinda hukumu ya kesi yake iliyokuwa inamkabili. Mtikila ameshinda katika kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Elivin Mgeta. Mtikila alikuwa anakabiliwa na tuhuma za uchochezi dhidi ya serikali na kukutwa na nyaraka za uchochezi.

No comments:

Post a Comment