Waziri
wa uchukuzi Mhe. Dokta Harrison Mwakyembe amefanya ukaguzi wa
kushtukiza wa meli zinazo safirisha abiria kutoka Dar es Salaam kwenda
Zanzibar na kuwataka wamiliki wanaoshindwa kutekeleza maagizo ya
serikali kubadili mifumo ya meli zao kuwa za uvuvi.
No comments:
Post a Comment