Tayari
Okwi amekosa mechi moja ya juzi dhidi ya Ruvu Shooting na wakati,
Kamati ya Ligi Kuu imekutana leo na kuamua, kumuongezea mechi mbili
zaidi, dhidi ya Prisons na dhidi ya Yanga na baada ya hapo atakuwa huru
kuendelea kumtukia mwajiri wake.
No comments:
Post a Comment