BEKI wa Manchester United na England, Phil Jones ameumia tena na atakuwa nje ya Uwanja kwa miezi miwili.
Jones
aliumia mazoezini mapema wiki hii na kupelekwa kufanyiwa vipimo,
ambavyo majibu yake ya kukaa jukwaani kwa wiki sita hadi nane.
Phil Jones asiye na bahati kua.
No comments:
Post a Comment