Mkurugenzi
Mtendaji (SBL), Steve Gannon (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke,
Sophia Mjema (kulia) wakizindua rasmi mradi wa maji wenye hifadhi wa
zaidi ya lita 40,000 kwa wakati mmoja uliodhaminiwa na na SBL. Wengine
ni wafanyakazi na wageni waalikwa katika hospitali ya Temeke.
|
No comments:
Post a Comment