simba sc vs azam fc, simba 3-2 azam SIMBA RAHAAA...YATWAA NGAO YA JAMII
Naibu Waziri wa Kazi na maendeleo ya vijana, Makongoro Mahanga (kulia) akimkabidhi Ngao ya Jamii, Nahodha wa Simba, Juma Kaseja. Pembeni yake ni beki Nassor Masoud 'Chollo' na kulia kabisa ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athumani Nyamlani. MABINGWA wa ligi kuu Bara Simba, wametwaa ngao ya Jamii baada ya kuifunga Azam Fc mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika
mchezo huo,Azam Fc ilianza kwa kufunga maabao yake kupitia kwa John
Bocco 'Adeboyor' na Kipre Tchetche kabla ya Simba kujipanga na
kurudiskupitia kwa Daniel Akuffo, Emmanuel Okwi na Mwinyi Kazimoto
No comments:
Post a Comment