Eneo
la Davis Corner, Vituka jijini Dar es salaam ambalo baadhi ya wakazi
wanalitumia kutupia taka kinyume cha sheria. Eneo hili litajengwa
mzunguko (Round about) na kuyawezesha magari kupita katika eneo hilo na
kupunguza msongamano wa magari katika eneo hilo katika mikakati
inayoendelea ya kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment