Pages

Wednesday, October 3, 2012

Angalia PICHA jinsi DIAMOND alivyosherehekea BIRTHDAY YAKE, wema ALETA BONGE ya KEKI


Hii ni cake maalum ambayo aliletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yake
Hapa akiwa na Dada yake wa hiyari Halima kimwana
Wema na dada yake diamond, Esma wakilishana Cake




All de way from UK Naj pia alikuwepo

No comments:

Post a Comment