Hizi
ndiyo hekaheka za lala salama za tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni
jijini Dar es salaam ambapo Rick Ross “The Boss”mwanamuziki wa Hiphop
kutoka nchini Marekani anatarajiwa kuongoza wanamuziki wa muziki wa
Bongofleva wa nchini Tanzania kukonga nyoyo za mashabiki hao, hii ndiyo
hali halisi inavyoendelea katika maandalizi ya kuhakikisha tamasha hilo
linafana (Serengeti Fiesta 2012 Bhaaassss)
TANZANIA NA NORWAY YAKUTANA KWA MASHAURIANO YA KISIASA
-
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Norway zimekubaliana kupanua
wigo wa ushirikiano katika Mkutano wa tatu (3) wa Mashauriano ya Kisiasa
uliofany...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment