Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu mkubwa
uliofanywa kwenye kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa
vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea
Msahafu
PICHA NA MUHIDIN MICHUZI
|
No comments:
Post a Comment