Pages

Wednesday, October 31, 2012

KIMBUNGA SANDY MAREKANI KINAVYOENDELEA KULETA MADHARA.



.
Kimbunga Sandy ni kimbunga ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa iliyopita ambapo kwa mujibu wa Sky News ni watu 16 wamepoteza maisha mpaka sasa na nyumba zaidi ya 50 zimewaka moto huku mamilioni ya wananchi wakikaa bila umeme majumbani mwao.
Kutokana na hiki kimbunga pia safari za ndege zaidi ya eflu zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine nyumba laki sita na elfu sabini kwenye jiji la New York zimeachwa bila umeme.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment