Mabao ya
Aleksandar Kolarov, Sergio Aguero na James Milner yameipa Manchester
City ushindi wa 3-0 katika Ligi Kuu ya England joni hii dhidi ya
Sunderland. Ushindi huo, umeifanya Man City itimize pointi 15 baada ya
kucheza mechi saba na inashika nafasi ya pili, nyuma ya Chelsea
inayoongoza kwa pointi zake 16, ambayo hivi sasa inacheza mechi ya saba
nayo dhidi ya Norwich.
Kolarov akipongezwa kufunga bao la kwanza Uwanja wa Etihad
Mserbia huyo anafunga bao la kuongoza kwa mpira wa adhabu
Aguero anagunga la pili 2-0 kipindi cha pili
Lilikuwa shuti la pili la Aguero tangu aingie na anafunga
Mabingwa hao watetezi sasa wapo jirani na Chelsea kileleni mwa Ligi Kuu
Balotelli akiumaliza Uwanja baada ya kutolewa
No comments:
Post a Comment