MH.MBUNGE MUSSA ZUNGU WA JIMBO LA ILALA AKAMATWA NA RUSHWA.
HII IMETOKANA NA KUBAINIKA AKIGAWA
PESA ALIZOKUWA NAZO KATIKA GARI LAKE, NDIPO UKAWEKWA MTEGO NA TAKUKURU
NA KUWEZA KUBAINI, JAPO GARI LILILO KUWA NA PESA LILIKIMBIA LAKINI
USHAHIDI WA SIMU UMEBAINIKA.
Chanzo TBC 1
No comments:
Post a Comment