Pages

Saturday, October 27, 2012

MTOTO APOTEZA MAISHA KWA KUKANYAGWA NA BASI MOROGORO TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA.


 Mtoto mdogo apoteza maisha kwa kukanyagwa na basi wakati akivuka barabara mjnin morogoro.Ajali hiyo iloyotokea maeneo ya kihonda ilitokea jana wakati Mtoto huyo akivuka barabara  ya morogoro Dodoma ndipo alipogongwa na basi na kupoteza maisha hapo hapo.
 Mwili wa marehemu ukiwa aeneo la tukio ukiwa umeharibika vibaya
 Mwili wa marehemu ulioharibika vibaya ukiwa umefunikwa
 Watoto waliokuwa pamoja na marehemu wakilia kwa uchungu baada ya tukio hilo
Mama aliyeongozana na watoto hao akiwa na huzuni

No comments:

Post a Comment