Pages

Friday, October 26, 2012

MWALIMU WA VETA MOROGORO AKUTWA AMEJINYONGA TUNAOMBA RADHI KWA PICHA MTAKAZOZIONA.


 Mwalimu wa chuo cha veta marogoro akutwa amejinyonga kataka mwambao wa mto kilakala mjini morogoro asubuhi ya leo,Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mwalimu huyo amejinyonga asubuhi ya leo kwa kutumia mkanda wa suruali.Inasemekana ameonekana subuhi ya leo mtaa wa madizini kilakala kabla tukio hilo halijatokea mchana huu
 Mwalimu magwayi wa chuo cha veta mjini morogoro
 Mashuhuda wa tukio hilo wakiwa wameuzunguka mwili wa marehemu huyo leo mchana huu
Mwili wa marehemu

No comments:

Post a Comment