Pages

Monday, October 29, 2012

NAIBU SPIKA JOB NDUGAI:SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA KUTOA TAARIFA YA TUHUMA ZA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI NA BAADHI YA WABUNGE KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA RUSHWA



 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari bungeni mjini Dodoma, Juu ya taarifa ya tuhuma za wajumbe wa kamati ya bunge ya nishati na madini na baadhi ya wabunge walijihusisha na vitendo vya  rushwa wakati wa mjadala wa hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati na madini ya mwaka 2012-13 kwamba itatolewa na spika kwenye mkutano wa Bunge la 9 unaotarajiwa kuanza octoba 30 -2012 mwaka huu. Picha na Edwin Mjwahuzi

No comments:

Post a Comment