Pages

Wednesday, October 3, 2012

NEWS ALERT:AJALI YA GARI MBEYA,KARIBU NA FIRE NA POLICE CENTRAL

Gari hilo lenye nambari za usajiri T 667 BGZ aina ya LANDCRUSEL limepata ajari usiku huu majira ya saa 4 usiku chanzo cha ajari hiyo ni mwendo kasi wa dereva huyo aliye julikana kwa jina moja 
Bw SANGA pia tarifa toka kwa dereva mwenyewe kuwa alionja pombe kidoga mpaka sasa gari limefanikiwa kuondolewa eneo la tukio na kuvutwa mpaka kituo kikubwa cha police mbeya mjini hakuna majerui katika ajari hiyo. 
 
 
 
 
 
 
 
  
Dereva wa  aliye pata ajari Bw SANGA
 

SOURCE http://msikecorner.blogspot.com

No comments:

Post a Comment