NSA JOB AVUNJIKA VIBAYA MGUU KWENYE MECHI YA COAST NA JKT RUVU TAZAMA PICHA HAPA.
Mshambuliaji wa Coastal Union leo
amevunjika mguu na kukimbizwa hospitali ya Muhimbili kwa usafiri binafsi
wa msamalia mwema,Tuzidi kumuombea Nsa job ili apate unafuuu mapema.
source http://www.shaffihdauda.com/
No comments:
Post a Comment