Watuhumiwa watatu wa kuchakachua nembo za vyombo vya umeme ambavyo havina ubora na kugushi sehemu vilikotoka na kuwauzia wananchi kitendo ambacho ni kinyume cha sheria.

Watuhumiwa hao watatu wakidhibitiwa na polisi baada ya kukamatwa na bidhaa hizo feki na kupelekwa kwenye gari la polisi.
 
Watuhumiwa hao pamoja na bidhaa zao wakipandishwa katika gari la polisi kuelekea kituoni kwa mahojiano zaidi.