Pages

Friday, October 26, 2012

Rais Kikwete ashiriki Swala ya IDDI kijijini Msoga leo



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Iddi katika Masjid Rajab kijijini kwake Msoga-Chalinze leo Asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono wa Iddi na baadhi ya waumini walishiriki swala ya Iddi katika Masjid Rajab Kijijini kwake Msoga, kata ya Chalinze,Wilayani Bagamoyo leo asubuhi(picha na Freddy Maro) 

No comments:

Post a Comment