Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT, kutoka kwa
Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim
Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,
(kulia) akisikiliza Ripoti ya Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT,
iliyosomwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo. Jaji Abdulhakim Ameir Issa,
alipofika na ujumbe wa tume hiyo Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein,(kulia) akizungumza na wajumbe wa Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv
SKAGIT, iliyo ongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Abdulhakim Ameir
Issa,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu
No comments:
Post a Comment