Mtu
mzima Rick Ross “The Boss” kutoka nchini Marekani hivi sasa yuko
jukwaani kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalofanyika kwenye
viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar salaam ,anakamua ile mbaya na
mashabiki wamepagawa vyakutosha kwa kila anachowaelekeza kufuata
wanafuata jamaa amefunika mbaya, hiii ni mara yake ya kwanza kufanya
onesho nchini Tanzania
Rachel
Mwanamuziki wa Bongofleva kutoka kundi la THT akicheza na mmoja wa
wacheza shoo wake katika Tamasha la Serengeti Fiesta linalofanyika
usiku kuu kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam ambapo pamoja
na wasanii mbalimbali wakali wa nyumbani, mwanamuziki maarufu wa Hiphop
kutoka nchini Marekani Rick Ross “The Boss” atahitimisha tamasha hilo
kwa shoo kali usiku huu.
No comments:
Post a Comment