Pages

Tuesday, October 2, 2012

Rufaa Ya Lema Inaendelea live





MORE UPDATES:
- Bado ukumbi umetulia, namwona Cecilia Pareso ameingia.

- Kamanda Lema ameingia, namwona na wapinzani wake kwenye kesi hii Musa Mkanga na Agness Mollel nao ndani ya nyumba.

- Majaji wameingia. Kesi imeanza...

- Method Kimomogoro na Lissu wanawakilisha rufaa.

- Upande wa pili unawakilishwa na Modest Akida na Alute.

- Wote wapo tayari kuendelea na shauri.

Chande: Leo waanasikiliza pingamizi za awali kwanza

Chande: Kabla hatujaanza kusikiliza, mawakili wote wawe na right of audience.

Kimomogoro: Upande wa rufani tuna uhalali wa kusimama mbele ya rufaa kwa zaidi ya miaka kumu

Alute: Nina uhalali tangu 1985

Lissu: Nimekuwa wakili tangu 2003, hivyo nina zaidi ya miaka mitano.
Kutoka JF

UPDATES
 Wakili alute anasema hukumu inapingana na decree ya mahakama,ni kama anataka kushawishi kuwa rufaa ya lema ni batili

UPDATES
Kwa kuwa japo kosa si la warufani,ila walipawsa kukagua vizuri nyaraka hizi,ni makosa ya mahakama,jaji amesaini lakini hakuna mhuri wa mahakama.so,Wakili wa alute anadai warufani(akina Lema,) walipe gharama za kesi na gharama za mawakili wawili.

UPDATES
Mjadala ni mkali sana jaji chande anajaribu kumshawishi wakili Alute ili rufaa isikilizwe,lakini alute hataki kwa kuwa ni batili

No comments:

Post a Comment