Pages

Wednesday, October 31, 2012

SAKATA LA UKOSEFU WA MAFUTA JIJINI MBEYA.. HALI NI TETE .. DALA DALA NI 1000 KITUO HADI KITUO



 Foleni ya kutosha kuelekea kufuata mafuta
 Boda nazo zinangoja mafuta hapa 
 Magari yakiwa  yameongozana foleni kwa ajili ya kutaka mafuta
 Barabara nyeupe watu wamepaki magari Majumbani kahuna mafuta 
 Daladala nazo shida , hizi ni baadhi ukipanda tuu kila kituo utalipia 1000

 Hii Gari ya kwanza mwisho ni ya Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu nae yupo kwa foleni 




 Boda Limeishiwa mafuta , nalo linaelekea kupanga foleni 

HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO JIJINI MBEYA TANGIA JANA MPAKA LEO , HALI YA MAFUTA NI TETE SANA , DALA DALA ZIMEPATA ULAJI ZINA TOZA ABIRIA 1000 KITUO HADI KITUO.
na mbeya yetu blog

No comments:

Post a Comment