Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda leo
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
kwa madai mbalimbali pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia
eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi
Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu
na Makazi. Hali ya ulinzi imeimarisha katika viunga vya Mahakama hiyo. Habari kamili kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na Picha zitawajia hivi punde.
Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi.
-
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda
wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo y...
15 minutes ago
No comments:
Post a Comment