Pages

Wednesday, October 3, 2012

Tazama picha MbalimbaliKutoka Arusha baada ya Rufaa ya Aliyekua Mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA)Godbless Lema Kusogezwa Mbele




Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, ilisikilizwa na kusogezwa mbele.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema, baada ya kusogezwa mbele.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wakiongozana na aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema Mbunge kutokea mahakamani ambapo rufaa yake ilisikilizwa.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana kutokea mahakamani,ambapo rufaa ya aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema ikisikilizwa na kusogezwa mbele.
Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lema akionekana juu ya gari pamoja naWafuasi wa Chama hicho wakitokea mahakamani.
Wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakibembea juu ya gari la Mbunge.
Hili ni gari la aliekua mbunge wa CHADEMA Bw. Godbless Lema.
M4C likifuata msafara wa Aliekua Mbunge wa Chadema jijini Arusha Bw. Godbless Lemawakitokea mahakamani.
Kikosi cha usalama nacho kilikua kwenye msafara huo, japokuwa hapakua na kazi yeyote ya kufanya bali kuhakikisha Amani inatawala

No comments:

Post a Comment