Pages

Tuesday, October 2, 2012

Breaking News: Basi la Dar Express LATEKETEA KWA MOTO

CHANZO  TONE RADIO-TZ  NA www.blogszamikoa.blogspot.com
Habari za hivi Punde zinasema kwamba Basi la Dar Express likitokea Arusha kuelekea Dar na ambalo Limeteketea moto. ABIRIA WOTE wamenusurika wote HAKUNA ALIYE POTEZA MAISHA.
 









Basi la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la Segera..abiria wote wamenusurika hakuna aliepoteza maisha..

1 comment: