Meja
Anthony Mjema akikagua gari la mfanyakazi wa Airtel bwana Herald
Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani
kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na
kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika
makao makuu ya Airtel Morocco.
Meja
Anthony Mjema akibandika sticker ya usalama barabarani katika gari
ya mmoja wa wafanyakazi wa Airtel bwana Abadallah Gunda mara baada ya
kukalikagua , hii ni moja kati ya mwendelezo juhudu za Airtel kwa
kutekeleza usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya
wafanyakazi wake kukaguliwa. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu
ya Airtel Morocco, nyuma ni baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakisubiri
kukaguliwa.
No comments:
Post a Comment