Mtaalam
wa tiba ya magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha
sehemu ya jengo jipya la hospitali yake, wawakilishi wa mashirika ya
kimataifa kutoka Marekani, walipotembelea kuona ujenzi wa hospitali hiyo
itakayojulikana kama Dk. Ferdinand Masau Hearth Institute Limited
(MHI), iliyopo Mbweni nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mtaalam wa tiba ya magonjwa ya moyo nchini, Dk. Ferdinand Masau, akiwaonyesha sehemu ya vifaa vya kisasa vya matibabu ya moyo.
:
No comments:
Post a Comment