Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wakirejea kutoka Morogoro katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali ambapo waliibuka washindi katika mchezo wa mpira wa miguu.
Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh akinyanyua kombe kuwapongeza Wachezaji wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali waliotoka katika michuani ya SHIMIWI iliyofanyika mkoani Mororgoro na kufanikiwa kuibuka washindi wa pili katika mchezo wa soka.
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Wafanyakazi wa  Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali.