Katika
mchezo mwingine wa ligi kuu ya Vodacom uliochezwa kwenye uwanja wa Azam
Complex Chamazi kati ya Azam FC na Ruvu Shooting, matokeo ni kwamba
timu hizo zimetoka sare ya kufungana magoli 1-1 na kugawana pointi moja
kila timu.
RC BALOZI BATILDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI WAHIMIZE WAUMINI KUJIANDIKISHA
KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
-
*Na Oscar Assenga,Tanga*
*MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi, Dkt Batilda Burian amewaomba viongozi wa
dini katika mahubiri yao wawahimize waumini kuhakikisha w...
23 minutes ago
No comments:
Post a Comment