Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 9, 2012

BASI LA YANGA LAVUNJWA KIOO LIKIWA NJIANI KWENDA TANGA TAZAMA PICHA HAPA.




 Watu wasikokuwa na mapenzi mema, wamevunja kioo cha Bus la timu ya Young Africans leo majira ya saa 6 mchana Kwedikwazu.Watu katika kijiji cha Kwedikwazu wamevunja kioo cha Bus la timu ya Yanga kwa kurusha jiwe wakati bus likipita
Hakuna mchezaji aliyejeruhiwa katika tukio hilo, timu imefika salama na jion itafanya mazoezi katika Uwanja wa Gyhmkana

 Hakuna mchezaji aliyejeruhiwa katika tukio hilo, timu imefika salama na jion itafanya mazoezi katika Uwanja wa Gyhmkana http://twitter.yfrog.com/keue4pidj

No comments:

Post a Comment