Hussein Kaburu akimtoka Bin Slum, kulia ni Dunga
|
Boban akitoa pasi mbele ya Dunga na Diata
|
Mohamed Bin Slum akimiliki mpira mbele ya Hussein Kaburu na
Juma Nyosso
|
Juma Nyosso akiosha
|
Rama Twite kulia akiondoka na mpira huku akimuacha hoi Nassor
Bin Slum
|
Iddi Moshi kulia akiwa ng’ado kwa ng’ado na Haruna Moshi
|
Rama Twite akiondoka na mpira huku Nassor Bin Slum
akionyeshana kazi na bwana mdogo
|
Nassor Bin Slum akimkwatua kwa nyuma Haruna Moshi
|
Cheki beki anavyokaba…
|
Cheki beki anavyokaba…
source Bin Zubeiry
|
No comments:
Post a Comment